Lugha za Kitokari

Lugha za Kitokari ni jina la kundi la lugha za kale zilizotumika hasa katika mkoa wa Xinjiang (leo nchini China). Kundi hilo linaainishwa kama mojawapo kati ya yale ya lugha za Kihindi-Kiulaya.

Maarufu zaidi ilikuwa ile ya Wahiti. Zote zilikoma kufikia karne ya 9 BK.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search